NFT inamaanisha ‘non fungible tokens’ ama ‘token zisizo wezekana kuigwa’, hii ni aina ya token ambayo haiwezi kugawanyika kwa vipande vidogo zaidi ya moja.Huu muundo ni tofauti na vipeni vya crypto ambavyo vina uwezo wa kugawanyika kwa kiwango kidogo zaidi.Umuhimu wa NFTs katika mtandao wa tarakilishi ni kwamba umewapa watumizi wa huu mtandao namna ya kuhakikisha umiliki wa sera za kidigital kwa mfano mapicha,nyimbo,na muundo wowote wa kidigital.Hii ni tofauti sana na jinsi miundo ya kidigital ilivyo jinsi hauwezi chapisha NTFs inayofanana nyengine.
‘Fungibility’ katika hii somo ya bloku mfumo ni inamaanisha kwamba unaweza badilisha kitu kimoja na kingine kilicho fanana hii ni kumaanisha kwamba kile kitu kimoja kivyake hakina umuhimu ama ubinafsi.Bidhaa na pesa ni mifano miema ya vitu vya aina hii.
NTFs katika mtandao wa tarakilishi zimewezesha wanao tengeneza video,picha na aina zingine za ujumbe nafasi ya kuzipa sahihi na kuziwezesha kuonekana kwa mtandao kama NFTs.
Hii inawezesha ujumbe huu kununuliwa katika mtandao bila kuhusu mtu mwingine yeyote isipokua ya mnunuzi na muuzaji.Kwa sasa NFTs zimeimarika sana kwa sababu wasanii wanaweza uza sanaa zao bila kuhusu mtu mwingine katikati yao.
Katika Stake DAO,tumechapisha NFTs zinazoonyesha njia na vifaa vya kutengeneza mali vilivyo katika huu mtandao wetu.Hizi pia ni njia ya kuwazawadi wanajumuiya yetu kwa kutumikia kikundi chetu.Hii pia kwa sababu ya kusaidia kujenga wazo la DAO.