Je DAO ni nini ?

May 8, 2022 1 min read
Je DAO ni nini ?

DAO inasimamia ‘Decentralised Autonomous Organization’.

Hii ni njia mpya ya kuungana pamoja kama kikundi na kufanya kazi pamoja.Hiki kikundi kinaongozwa na sheria na maagizo yaliyo katika bloku mfumo.

Umuhimu wa kuungana kutumia njia hii ni kwamba unawezesha kila mtu katika hiki kikundi kuweza kua na sauti , uwezo ,na namna ya kutoa maoni pia na njia ya kuwezesha hayo maoni kutimizwa na pia kuweza kuona jinsi yanavyo timizwa kila kitu kiko hadharani na hakuna shughuli za hiki kikundi zinazo fanyika kwa siri kwa sababu sheria na utaratibu wote unatendeka na kurekodiwa katika bloku mfumo.

Umuhimu mwingine wa hiki kikundi ni kwamba sheria zake na utaratibu wa kazi hautendwi ama kushawishiwa na serikali ama muungano mwingine wowote wa sheria ila ni wanamemba wa kikundi walio sehemu tofauti tofauti ulimwenguni.

Stake DAO ni mfano mwema wa hiki kikundi pale ambapo kuanzishwa kwa hiki kikundi ilikua watu wachache lakini kusonga mbele sheria na utaratibu wa utenda kazi utaendelezwa na wanamemba.

Great! Next, complete checkout for full access to Stake DAO Academy.
Welcome back! You've successfully signed in.
You've successfully subscribed to Stake DAO Academy.
Success! Your account is fully activated, you now have access to all content.
Success! Your billing info has been updated.
Your billing was not updated.