Kuna aina mbili za soko ambapo sera za crypto zinaweza uzwa na kununuliwa.Hizi soko ni soko iliyounganika na soko isiyounganika.
Aina ya soko iliyounganika ni pale ambapo shughuli zote za ununuzi ama uuzaji wa hizi sera unatendeka ama kusimamiwa na kikundi ama kampuni moja ambayo majukumu yake ni kuhakikisha hizi shughuli zinaendelea vipasavyo,katika hizi soko bei zote zilizoko ni zile ambazo zinaonyeshwa kwa umma.
Agizo zote za kununua sera za crypto lazima kwanza zipitie kwa hii soko kisha zilinganishwe na agizo za kuuza ndipo bei na shughuli za ununuzi ama uuzaji ziweze kufanyika.Wanao simamia biashara hapa ni kampuni moja ama mtu mmoja binafsi.