Gesi katika teknolojia ya bloku mfumo ni nini?

Apr 28, 2022 1 min read
Gesi katika teknolojia ya bloku mfumo ni nini?

Kwa bloku mfumo kila bloku ni tofauti na ime hifadhi rekodi tofauti,hizi rekodi za shughuli zote zilizofanyika kwa huo mtandao wa bloku mfumo zikuinganishwa pamoja ndizo hutengeneza bloku mfumo(block chain)

Shughuli ya kuzipanga hizi bloku kuhakikisha hesabu iliyoko ya sera za crypto ina amabatana hii kazi yote inafanyangwa na tarakilishi zinazo na huu umaarufu.Yeyote anaye fanya hii kazi anapata malipo kwa sera za ubinafsi za huo mtandao kwa mfano kwa Ethereum utapata malipo kwa Eth.Malipo ya gesi ndiyo yana wezesha wapangaji hizi bloku kupata malipo.Haya malipo ya gesi ni yale mtumizi yeyote wa huu mtandao anapaswa kulipa kila wakati anapotumia mtandao wa bloku mfumo.
Kwa mfano ukitaka kutuma vipeni vya sera za crypto kupitia huo mtandao unalipa sera kidogo ndiposa uweze kukamilisha hiyo shughuli.Haya malipo ndiyo yanazawadiwa zile tarakilishi  ambazo  zinapanga na kuhakikisha hizi hesabu katika mtandao wa blokumfumo zina ambatana.

Gesi kwa mtandao wa Ehtereum inapimwa kwa kiwango kinachoitwa Gwei

1 Gwei = 0.000000001 Ether

Great! Next, complete checkout for full access to Stake DAO Academy.
Welcome back! You've successfully signed in.
You've successfully subscribed to Stake DAO Academy.
Success! Your account is fully activated, you now have access to all content.
Success! Your billing info has been updated.
Your billing was not updated.