Dapps ni nini ?

Apr 28, 2022 1 min read
Dapps ni nini ?

Dapps(Decentralized Application) hizi ni programu zinazo tumika juu ya mitandao ya bloku mfumo na ambazo zinahitaji programu za kuthibitisha mikataba(smart contracts) fulani ndiposa ziweze kutumika.

Kila moja ya hizi programu maagizo yake na sheria zake za kibiashara zimeandikwa na kutekelezwa na programu za kudhibitisha mikataba.Hizi programu unaweza ona na kuelewa kile chote ambacho kinatendeka katika hizi programu.

Hii ni kwa sababu ujumbe kuhusu jinsi zilivyo undwa unaweza patikana kwa urahisi kwa yeyote anaye hitaji kusoma.Kitu kingine cha umuhimu katika hizi programu ni uhifadhi wa ujumbe wa siri unao hitajika ndiposa mtumizi wa hizi program aweze kuzitumia.Hizi programu zina uwezo wa kuficha na kuhifadhi vyema huu ujumbe bila kumpa mtu ama kitu chochote ruhusa wa kutumia isipohitajika.

Great! Next, complete checkout for full access to Stake DAO Academy.
Welcome back! You've successfully signed in.
You've successfully subscribed to Stake DAO Academy.
Success! Your account is fully activated, you now have access to all content.
Success! Your billing info has been updated.
Your billing was not updated.