Je , sarafu za crypto ni nini ?

Sarafu za crypto ni vipeni vya teknolojia ya bloku mfumo ambavyo vinatumika katika mtandao kununua bidhaa na kupokea kama malipo katika biashara za mtandaoni.

Hizi sarafu miaka za hivi punde zimeongezeka umaarufu kwa kutumika kama vile fedha katika biashara zisizo fanyika kwenye mtandao.Ukilinganisha hizi sarafu na fedha zingine zina faida zake ambazo hazipatikani katika hizi fedha zingine zikiwemo , faragha(privacy) , urahisi wa kueneza katika matumizi , usalama ,gharama ndogo ya kutumia hizi sarafu.

Sarafu iliyo zinduliwa ya kwanza ilikua Bitcoin katika mwaka wa 2009.Hii ndio ilikua mfano wa kwanza wa sarafu za crypto sasa hivi kuna maelfu ya sarafu za crypto.Katika hizi sarafu zote Bitcoin ndio inayo nawiri zaidi zikilinganishwa pamoja.